Wednesday, August 27, 2014

Photos: Odama Asherehekea Birthday Yake Kwa Kula Na Kutoa Misaada kwa Watoto Yatima.

Jana muigizaji wa filamu nchini mwenye jina kubwa Odama Jennifer Kyaka aresherehekea birthday yake kwa kutoa misaada mbalimbali kwa watoto yatima. Odama alitoa mifuko ya unga, mchele, mafuta ya kupikia na mengineyo.
Odama pia aliandaa chakula na kula na watoto hao katika ukumbi wa vijana Kinondoni huku mastaa wenzake kama vile Kajala, William Mtitu, Bi.Mwenda, Mama Kibakuli, Irene Paul, Chuchu Hans, Monalisa, Davina, Cathy Rupia, Steve Nyerere, Mayasa Mrisho, Sandra, Shamsa Ford, Wellu Sengo, Zamarai Mketema wakitoa support. Jionee baadhi ya picha..............


No comments:

Post a Comment