Saturday, October 25, 2014

Naukubali Sana Uwezo Wa Monalisa Na Kojaki Katika Uigizaji: Mzee Chilo

Mzee Chilo
Ahmed Ulotu maarufu kama Mzee Chilo ambaye ni msanii maarufu wa filamu nchini amesema kuwa anamkubali sana Kojaki kwa waigizaji wa kiume nchini na Monalisa kwa upande wa waigizaji wa kike nchini. Chilo aliyasema hayo wakati akizungumza na GPL


"Msanii wa kiume ninayemkubali ni Kojaki, huyu kijana anaweza kufika mbali sana lakini kwa msanii wa kike ni Monalisa."

No comments:

Post a Comment