Monday, July 21, 2014

Sina Mpango Wa Kuingia Kwenye Siasa Kama Baadhi Ya Wasanii Wenzangu: Frank Mohamed Mwikongi

Star anayefanya vizuri kwenye filamu za kitanzania Frank Mohamed Mwikongi amesema kuwa hana leongo la kuingia kwenye siasa kama baadhi ya wasanii wenzake ambao siku za karibuni wameamua kujiingiza katika siasa. Akizungumza na Swahiliworldplanet jana Frank anayetamba na filamu kibao sokoni alisema "
kwakweli sina mpango wa kuwa mwanasiasa bali naweza kuwa mfuasi wa chama cha siasa hilo ni sawa"

No comments:

Post a Comment