Wednesday, July 16, 2014

Photos: Kajala Amfanyia Mwanae Paula Party Ya Nguvu, Atoa Msaada Kwa Walemavu.

Odama, Chuchu na Kajala
Star wa filamu nchini Kajala Masanja juzi alimfanyia mwanae Paula birthday party ya nguvu huku akiwasaidia watoto wenye ulemavu wa akili vitu mbalimbali. jionee picha............


No comments:

Post a Comment