Monday, July 14, 2014

Modest Bafite Amshukuru King Majuto Kwa Kumfikisha Alipo Leo Kisanaa.

Modest
Muigizaji anayekuja juu Modest Bafite ametoa shukrani zake kwa King Majuto kwa kumfikisha alipo kisanaa sasa. Kupitia mtandao mmoja wakijamii Bafite ameandika "Mungu Akupe Maisha Marefu Mzee Wangu, Bila wewe Singefika Hapa Nilipo katika Sanaa, Kama leo naweza Lipwa Milioni 1 kucheza Filam Ya mtu, Chanzo Ni Wewe, Asante kwa Malezi bora Naushauri Mzuri Baba yangu"

Filamu mpya ya Mume Bora ambayo amecheza King Majuto na Modest itaingia sokoni tarehe 30 mwezi huu. Usikose kununua nakala yako halisi.


No comments:

Post a Comment