Wednesday, May 14, 2014

Nisha, Happy Nyatawe, Jennifer Wa Kanumba, Biggie Wataona Jasho.

Nisha
Star wa filamu Swahiliwood Salma Jabu Nisha amewaambia mashabiki wake kuwa filamu yake mpya ya ZENA NA BETINA inayotarajiwa kutoka tarehe 29 mwezi huu sio ya kukosa kwani amefanya makubwa humo ndani akiwa na mastaa wenzake kama vile Hanifa Daudi(Jennifer wa Kanumba), Farida Sabu, Manaiki Sanga, Lumolwe Matovolwa "Biggie", Happy Nyatawe na wengineo. Yaani wasanii hao wametoana jasho katika movie hii kila mmoja kutaka kumfunika mwenzake

No comments:

Post a Comment