Thursday, May 15, 2014

Nilivyompenda Mtunisy Ni Ngumu Sana Kumpenda Mwanaume Mwingine: Batuli

Batuli
Yobnesh Yusuph "Batuli" ambaye ni star wa filamu nchini amesema kuwa mwanaume ambaye alimpenda sana katika suala la mapenzi kuliko wote ni star mwenzake wa filamu nchini Nice Mohamedy "Mtunisy" ambaye waliwahi kuwa wapenzi siku za nyuma kabla ya kumwagana. Akizungumza na GPL Batuli alisema "Nilivyompenda Mtunis ni ngumu sana kumpenda mwanaume mwingine kama hivyo na kwa kawaida kupenda huwa ni mara moja tu mengine tutadanganyana"

                                                                          Mtunisy
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Filamu mpya ya Mtunusy inayoitwa TOM BOY akiwa na Jackline Wolper tayari ipo sokoni nunua nakala yako halisi.


No comments:

Post a Comment