Wednesday, May 14, 2014

Mariam Ismail Awa Mkuu Wa Polisi.

Star wa filamu nchini aliyejaaliwa kipaji cha uigizaji Mariam Ismail amecheza kama mkuu wa polisi na mama wa mtoto mmoja katika filamu mpya inayoitwa Mr.Kadamanja. Katika filamu hiyo pia kuna wasanii wengine maarufu kama vile Adam Kuambiana, Steven Charles na Ally Mkonde. Akizungumza  na SWP Mariam alisema kuwa "nimecheza kama mkuu wa Polisi na nikiwa kama mke na mama mwenye mtoto moja"


No comments:

Post a Comment