Thursday, April 10, 2014

Photo Of The Day: Shilole Enzi Hizo Akiwa Kijijini Kwao Igunga Kabla Ya Kuwa Star.

Shilole enzi hizo
Shilole kwasasa ana jina kubwa katika tasnia ya muziki na filamu nchini lakini kabla hajawa star alikuwa anaishi kijijini Igunga, Tabora na hakuna mtu yeyote aliyekuwa anamdhania atakuja kuwa star mkubwa na mwenye makeke mengi kama alivyo sasa. Picha hapo juu inamuonyesha Shilole enzi hizo akijulikana zaidi kama Zuwena Mohamed tofauti na sasa wengi wanamjua kama Shilole.

                                                                    Alivyo sasa
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment