Thursday, April 10, 2014

Lulu Asikitishwa Na Matapeli Wanaotumia Jina Lake Kuchangisha Michango Ya Kanumba.

Lulu
Elizabeth Michael "Lulu" alianza kuwa star tangu akiwa mtoto mdogo ameshtushwa na kusikitishwa na matapeli waliofungua account fake katika mitandao ya kijamii na kujifanya ni yeye Lulu halisi na kuanza kuchangisha pesa kwa madai ya kuchangia mfuko wa hayati Steven Kanumba. Mmoja wa matapeli hao ameandika hivi..........

Halafu kupitia Instagram Lulu mwenyewe ameandika maneno hayo hapo chini kulalamikia kitendo cha matapeli hao.......
Katika Facebook page halisi ya Lulu ni hii hapa Elizabeth Lulu Michael ambayo aliifungua hivi karibuni na nyingine zote ni fake.


Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment