Wednesday, April 9, 2014

Mkorogo Uliiharibu Sana Ngozi Yangu Sitakuja Kuutumia Tena Maishani: Wema Sepetu

Wema Sepetu
Star mkubwa nchini Wema Sepetu amekiri kuwa kamwe hatokuja kutumia tena mkorogo ambao alidai ulimharibu sana ngozi yake kiasi cha kwenda kufanyiwa marekebisho kwa gharama kubwa nchini China. Alipoulizwa na Globalpublishers kwanini alidai mkorogo ulimharibu sana na kutumia pesa nyingi kufanyiwa marekibisho nje ya nchi lakini bado hana tofauti na zamani Wema ambaye ni Miss Tanzania 2006 alijibu "Hapana, mimi ndiyo najijua, nilivyokuwa kabla na sasa. Ngozi yangu iliharibika sana kwa sasa iko sawa kabisa na sirudii tena kutumia mkorogo"


Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment