Friday, March 21, 2014

Vibaka Wamfanyia Kitu Mbaya Florah Mvungi Na H.Baba

Florah Mvungi akiwa na mume wake H.Baba
Star wa filamu nchini Florah Mvungi amefanyiwa kitu mbaya na vibaka baada ya kupasua kioo cha gari na kuiba laptop na flash ambayo ina wimbo mpya wa mumewe H.Baba ambaye ni star wa Bongofleva nchini.


Kwa mujibu wa Bongomovies Florah ameonekana kusikitishwa na kitendo hicho na kusema "My car jamani ndo kwanza ina about a month since iingie mume wangu katoka nayo wamevunja wameiba laptop yake.flash yenye nyumbo zake yaani these thieves i hate youuuuuuuu..sasa mmeiba sawa haya na inakuwaje mvujishe wimbo wa hbaba?sasa mapigo mawili kutengeneza gari na wimbo mnavujisha TUBEBANE SONG haikuwa itoke sasa ndo nini?? Why kariakoooooo lumumba jamaniiiiii my new car"



Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment