|
Shasta |
Muigizaji maarufu nchini Shasta ambaye tayari ameshachezxa filamu kibao na mastaa wenzake ameamua kutafuta meneja wa kufanya nae kazi. Kwa mujibu wa Shasta mwenyewe anataka meneja atakayeweza kumuongoza vizuri katika kazi zake za filamu na mwenye upeo na uelewa mzuri kuhusu tasnia ya filamu ndani na nje ya nchi kwani malengo ya Shasta ni kuwika Afrika mashariki na kimataifa pia. Shasta amecehza filamu nyingi lakini zilizomtambulisha zaidi kwenye game ni zile alizocheza kama jini.
Kama wewe unahisi unao uwezo wa kuwa meneja wa Shasta basi wasiliana nae kupitia namba hii hapa
0714583618
Unaweza pia kumpata Facebook hapa Shasta
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
No comments:
Post a Comment