Saturday, March 1, 2014

PICHA ZA KIMAHABA ZA HEMEDY NA NAJMA DATAN ZASAMBAA KWA KASI.

Waigizaji wa filamu nchini ambao pia ni wanamuziki wa Bongofleva Hemedy Suleiman na Najma Datan wamezua maswali kwa watu wanaofuatilia habari za mastaa wa Tanzania baada ya picha zao wakiwa kimahaba zaidi kuanza kusambaa. Katika picha hizo zinazoonekana hapo chini wawili hao wanabusiana kimahaba kama wapenzi walioshibana. Haijajulikana kama picha hizo ni za video mpya ya muziki, filamu au ni wapenzi kweli.

Hata hivyo tayari inajulikana kuwa Hemedy kwasasa anatoka na Zuhura Gora ambaye ni model na muigizaji pia, huku Najma akiwa ameshawahi kuwa katika penzi na Mr.Blue, Najma pia hivi karibuni alijitosa Rasmi kwenye tasnia ya filamu Swahiliwood na filamu ya Fan's Death akiwa na Vicent Kigosi(Ray) na Rammy Galis. Angalia picha.........




Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment