Friday, December 27, 2013

PHOTO: YUSTER NYAKACHAKA NA JACKLINE WOLPER KATIKA UTENGENEZAJI WA FILAMU YA MAJUTO SI HASARA.

Yuster Nyakachaka yupo kwenye mishe za utengenezaji wa filamu yake mpya kupitia kampuni yake ya filamu ya Eagle Entertainment ambayo inakuja kwa kasi nchini. Filamu hiyo inaitwa Majuto Si Hasara na mastaa wengine ndani yake ni Jackline Wolper na Slim Omar. Angalia picha chini Yuster akiwa na Wolper kwa ajili ya utengenezaji wa movie hiyo inayotarajiwa kuwa kali..........

Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment