Saturday, December 28, 2013

JACKIE CLIFF AMUACHIA WOSIA MARTIN KADINDA.

Jackie Cliff na Martin Kadinda
Yaelekea mwanadada Jackie alikuwa amejipanga kisawa sawa na alijitoa muhanga na kujua lolote lingeweza kumpata kutokana na kazi aliyo kuwa akifanya ya kubeba sembe. Jackie alijipanga na  kuamua kumuachia rafiki yake kipenzi Martin Kadinda maagizo na wosia wake just incase ikatokea akafariki. Jackie aliweza kuandika ujumbe huo kwenye status yake ya BBM kama inavyo onekana hapa chini.
Jackie amekamtwa mapema mwezi huu Macau, China na kilo 1.1 za heroin  na sasa anasubiria hatma yake kutokana na kosa hilo la kusafirisha madawa ya kulevya. 
Katika maisha kila mtu ana yule rafiki mmoja (BFF) ambaye anamuamini na kumweka moyoni mwake kama ilivyo kwa Jackie na Martin.

credit: here


Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment