Rayuu
Tuesday, September 24, 2013
RAYUU AKANA SKENDO YA KUDAIWA KUTOA MIMBA.
Hivi karibuni zilienea habari za chini chini kuwa muigizaji wa filamu nchini Rayuu ametoa mimba na alikuwa anaumwa kwa sababu ya issue hiyo. Habari hizo zilifika mpaka hapa Swahiliworldplanet na kuamua kumtafuta Rayuu ili atoe ufafanuzi wa issue hiyo. Hata hivyo ilipita wiki nzima bila Rayuu kujibu scandal hiyo ya kudaiwa kutoa mimba na jana muigizaji huyo alijibu kuwa sio kweli hajawahi kutoa mimba na wala alikuwa haumwi pia. "First sijawahi kutoa mimba na sikuwa naumwa mbona" Rayuu aliiambia Swahiliworldplanet
Rayuu
Rayuu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment