Jackline Wolper na Salha Israel ambaye ni Miss Tanzania 2011 wanakuja na filamu mpya inayoandaliwa na RJ Company. Katika filamu hiyo ambayo jina lake bado kujulikana Wolper ameigiza kama mtoto wa Rais huku Salha akiigiza kama mpambe wa Wolper na rafiki yake wa karibu. Wolper ambaye ni moto wa kuotea mbali Swahiliwood kwasasa katika filamu hiyo anaonekana kuwa na walinzi(bodyguards) wanaomlinda sambamba na mpambe wake Salha ambaye anatarajiwa kung'ara zaidi na filamu hii baada ya kuanza safari yake ya uigizaji katika Bad Luck. Angalia baadhi ya picha wakiwa location.............
Wolper katikati akiwa na Salha na walinzi wake akiwemo Walter de Ngonde mwenye upara.
Wolper akionyesha swaga zake kama mtoto wa Rais ambapo bado kujulikana ni nani amecheza kama baba yake Wolper yaani Rais mwenyewe.
Wolper na Salha Israel
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news
No comments:
Post a Comment