Muigizaji wa filamu Swahiliwood Liberty Msuya jana alipata ajali mbaya ya gari njia panda ya Osterbay, jijini Dar es salaam. Tukio hilo baya lilitokea wakati Liberty akiwa anaendesha gari aina ya Noa na ghafla gari aina ya Nissan lililokuwa linaendeshwa na mzungu anayedaiwa kuwa mmiliki wa kampuni ya ulinzi ya Almart Security aliyekuwa kalewa sana likawaingilia na kupinduka. Hata hivyo Liberty hakuumia ila mguu wake ulipata mshtuko na kupata maumivu. Angalia baadhi ya picha za ajali hiyo hapo chini.............
gari lililopinduka
Liberty ambaye ameigiza filamu kama Houseboy, Sello, Safari na nyinginezo
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news
No comments:
Post a Comment