Sunday, June 23, 2013

CHUCHU HANS, JENGUA, DANNY KABOMA WAJA NA FILAMU YA THE STOLEN DREAMS(PHOTOS OF BEHIND THE SCENES)

THE STOLEN DREAMS ni filamu mpya ya kiswahili iliyowakutanisha mastaa kadhaa kama vile Chuchu Hans, Mohamed Fungafunga(Jengua), Danny Kaboma aliyewahi kutamba na kundi la Kidedea, Bi Ndoza au Bi Farida wa Siri ya Mtungi na Anna Msangi(Cri) aliyetamba na filamu ya Ndoa Yangu akiwa kama mama wa Jackline Wolper. Filamu hiyo imetengenezwa na kampuni ya THE ICON ENTERTAINMENT producer akiwa Fetty Kaboma huku muongozaji wa filamu hiyo akiwa Abubakari Mtengwa. Jiandae kupata nakala yako halisi ili kusapoti wasanii wa nyumbani. Look at behind of the scenes and stills za filamu hiyo................


No comments:

Post a Comment