Saturday, June 22, 2013

NORA, SLIM OMAR, SHAMSA FORD NA GEOFREY KUSILA WAJA NA NDOA GOLI LA TATU.

Filamu mpya ya Ndoa Goli La Tatu imewakutanisha mastaa kadhaa wa filamu nchini kama vile Nuru Nassor(Nora), Slim Omar, Shamsa Ford na Geofrey Kusila ambaye ndiye muandaaji na msambazaji wa filamu hiyo kupitia kampuni ya Leo Media ambayo tayari imeshasaini mkataba wa mwaka mmoja wa kufanya kazi pamoja na Haji Salum(Mboto). Haya mdau kaa mkao wa kuipata filamu hiyo uone cheche za waigizaji hao wa Swahiliwood.


No comments:

Post a Comment