Hiki ndicho alichokiandika actress huyo.................
"Naomba
kusahihisha jambo moja tu. Sijasajiliwa na kampuni ya Tues
Entertainment ila mkurugenzi wa kampuni hiyo Tuesday Kihangala
alinitafuta na nikafanya naendelea maongezi lakini mpaka sasa
hatujafikia muafaka. Hivyo mm ni msanii huru. Sijasajiliwa na mtu yeyote
wala kampuni yoyote". Hivyo kama wewe ni mwaandaaji wa filamu na ungependa kufanya kazi na Batuli basi yeye yupo huru kwa kazi.
No comments:
Post a Comment