Tuesday, April 16, 2013

LIBERTY MSUYA ANAKUJA NA FILMS ZAKE MWENYEWE BAADA YA KUSHIRIKISHWA KATIKA FILAMU KADHAA.

Liberty Msuya alianza kujulikana Swahiliwood baada ya kucheza kama mhusika mkuu katika filamu ya Houseboy which also starred Elizabeth Michael(Lulu), Wema Sepetu, Kajala Masanja, Mr. Blue and Suleiman Barafu. baada ya filamu hiyo the actor amekuwa akicheza supporting roles zaidi kiasi cha mashabiki wake kutaka kujua kwanini haendelei kucheza kama hero in films. Swahiliworldplanet ilipomuuliza actor huyo kuhusu hilo alisema kuwa mara nyingi amekuwa busy na biashara zake ambazo huwa anafanyia Uk anakoishi na Tanzania anapokuja huwa busy sana, pia amesema kuwa filamu nyingi alizocheza ni za watu lakini za kwake mwenyewe zinakuja na hakusita kuzitaja ambazo anatarajiwa kuwa male lead in those films "kaka time ndio tatizo nikijaga bng nakuwa na mambo mengi sana .na hizo movie ni za watu nawapa tof. Mizigo yangu inakuja .Laura,2face ,Toa Shaka Ta Imani". Baadhi ya filamu nyingine alizocheza Liberty ni Fungate akiwa na Cloud na Yobnesh Yusuph(Batuli), na pia filamu mpya ya Cloud inayoitwa Selo.






No comments:

Post a Comment