Monday, January 28, 2013

LULU AACHIWA KWA DHAMANA

Msanii Maarufu wa filamu Afrika mashariki Elizabeth Michael(Lulu) anayekabiliwa na tuhuma za mauaji ya Msanii mwenzake Steven Kanumba amepata dhamana leo.Baadhi ya masharti aliyopewa Lulu ni pamoja kuacha hati yake ya kusafiria mahakamani,kuripoti mahakamani na wafadhili kuweka bondi ya Shilingi mil 20.
Mungu awe upande wako haki itendeke

No comments:

Post a Comment