Sunday, January 27, 2013

HAYA NDIO YALIYOAJIRI KATIKA USIKU WA MASTAA WA FILAMU TANZANIA

Tamasha kubwa la usiku wa mastaa wa filamu Tanzania lilifanyika jana jumamosi na haya ni baadhi yaliyoajiri hapo kiwanja.
Rose Ndauka
Rais wa TAFF Simon Mwakifwamba
Sabrina Rupia
wanenguaji wa shilole wakimpagawisha shabiki
Shilole alikuwepo pia
twanga pepeta walikuwepo
wanenguaji wa Snura na style za kuchuchumaa
scorpion girls wakiongozwa na Jini kabula walitoa burudani
Wolper akiwapa Hi mashabiki
Jb akisakata rumba
Snura akikata nyonga
Tundaman
Single Mtambalike akiyarudi
Dr. Cheni na mwanadada wakienda sambamba
Shamsa ford
Bi Mwenda
source:Globalpublishers

No comments:

Post a Comment