Pages

Wednesday, October 1, 2014

Next Level Chini Ya Adam Juma Kusaka Vipaji Vya Models, Actors Na TV Hosts Jumamosi Hii.

Muongozaji maarufu wa video za muziki nchini Adam Juma kupitia kampuni yake ya Next Level Jumamosi hii October atafanya usaili wa models, waigizaji(actors) na TV host kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 9 mchana Mzalendo Pub, Milenium Tower.
Kwa hiyo kama ndoto zake ni kuwa model, actor au Tv host kazi ni kwako usipoenda kwenye fursa hii

No comments:

Post a Comment