Muongozaji maarufu wa video za muziki nchini Adam Juma kupitia kampuni yake ya Next Level Jumamosi hii October atafanya usaili wa models, waigizaji(actors) na TV host kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 9 mchana Mzalendo Pub, Milenium Tower.
Kwa hiyo kama ndoto zake ni kuwa model, actor au Tv host kazi ni kwako usipoenda kwenye fursa hii
No comments:
Post a Comment