Thursday, October 9, 2014

Lamata Ana Msaada Mkubwa Sana Kwangu Kisanaa: Neema Wa 20%

Neema
Muigizaji maarufu wa filamu nchini Neema Wa 20% amesema kuwa anamshukuru sana Lamata Leah Mwendamseke kwa msaada wake mkubwa mpaka alipofikia sasa kisanaa.
Akizungumza na Swahiliworldplanet Neema alisema kuwa Lamata ambaye ni muongozajiw a filamu wa kike mwenye jina nchini amemsaidia sana katika mambo mengi kisanaa ikiwemo kumpa network kubwa na wadau muhimu katika tasnia ya filamu nchini.

Neema aliyejaaliwa kipaji ch kuigiza moja ya kazi zake mpya sokoni ni Zena Na Betina, Jicho Langu na Elimu Mtaani.

No comments:

Post a Comment