Neema |
Akizungumza na Swahiliworldplanet Neema alisema kuwa Lamata ambaye ni muongozajiw a filamu wa kike mwenye jina nchini amemsaidia sana katika mambo mengi kisanaa ikiwemo kumpa network kubwa na wadau muhimu katika tasnia ya filamu nchini.
Neema aliyejaaliwa kipaji ch kuigiza moja ya kazi zake mpya sokoni ni Zena Na Betina, Jicho Langu na Elimu Mtaani.
No comments:
Post a Comment