Filamu mpya kali inayoitwa WEMA UKO WAPI inatarajiwa kuingia sokoni mapema tarehe 26 mwezi huu wa kumi. Filamu hiyo imewakutaniha King Majuto, Masinde, Stanley Msungu, Lufedha na Joan. Movie hiyo inayosubiriwa kwa hamu imetengenezwas na Lufedha films.
kaa mkao wa kula.
No comments:
Post a Comment