Sunday, September 28, 2014

Washindi Wa Tuzo Za Action And Cut Viewers Choice Awas 2014.

Ray na Chuchu Hans
Tuzo za Action And Cut Viewers Choice Awards 2014 zilizoandaliwa na Bond Bin Sinnan kupitia kipindi chake cha Action and Cut kinachoonyeshwa Channel Ten zilifanyika jana Jumamosi Sunrise Resort, Kigamoni jijini Dar es salaam. Washindi wa tuzo hizo ni hao hapo chini.............

ACVC AWARDS WINNERS 2013/14

BEST ACTOR
Salim Mohammed Gabo ( BADO NATAFUTA)

BEST ACTRESS
Wastara Juma ( Mr & Mrs SAJUKI)

BEST UPCOMING MALE
Isike Samwel

BEST UPCOMING FEMALE
Wellu Sengu ( MATILDA)

BEST DIRECTOR
Vincent Kigosi (TWISTED)

BEST FILM
Shikamoo Mzee ( JERUSALEM FILM COMPANY)

BEST D.O.P
Rashid Mrutu ( APPLE)

BEST EDITOR
Timmoth Conrald ( NGUVU YA IMANI)

BEST COMEDIAN
Amri Athuman King Majuto ( SHIKAMOO MZEE)

BEST COMEDIAN FEMALE
Salma Jabu Nisha ( PUSI NA PAKU )

SUPPORTING ACTOR
Haji Adam (APPLE)

SUPPORTING ACTRESS
Esha Buheti (MAISHA)

BEST ACTION MOVIE
C.I.D

BEST SCREENPLAY
Single Mtambalike (SAFARI)

FILAMU BORA YA MAADILI
Shahada

FILAMU BORA YA KUITANGAZA TANZANIA
Safari

BEST DISTRIBUTOR
Steps Entertainments

LIFE TIMEACHIEVEMENT AWARD
Thekla Mjata
Vicent Kigosi

GRATITUDE AWARD
George Otieno (Tyson)
Amri Bawj
Saimon Mwakifwamba
Joyce Kiria Nkongo
Steve Mengele Nyerere
Dilesh Solank
Jakaya Mrisho Kikwete


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment