|
Mh. Sugu, Faiza Ally na mtoto wao Sasha |
Muigizaji wa filamu nchini FaizaAlly amemwagana na mwanamuziki mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ! well....kupiia Instagram Faiza ameandika maneno yanayoonyesha amemwagana na Mh.Sugu ambaye pia ni mbunge wa Mbeya mjini kupitia Chadema. Faiza aliandika........
No comments:
Post a Comment