Sunday, September 28, 2014

Photos: Diamond Platnumz Amnunulia Wema Sepetu Zawadi Ya Gari Kwenye Birthday Yake.

Wema na Diamond
Real Love or !.......Leo ni siku ya kuzaliwa ya Wema Sepetu ambaye ni Miss Tanzania 2006 na pia actress. Mpenzi wake Diamond Platnumz amemzawadia gari linaloonekana pichani. Kupitia mtandao mmoja wa kijamii Diamond ameandika na kuweka picha hiyo la gari.....


"Nlitama nikupe vingi, wenda ingenisaidia kueleza ni kias gani napenda nikuone ukifurahi kwenye siku yako hii ya kuzaliwa...lakini tu, sina uwezo huo mumy... tafadhari pokea kidogo hichi nlichojaaliwa leo.... na siku zote tambua kwamba your Platnumz, love you so much...! Happy Birthday baby"
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment