Pages

Saturday, July 12, 2014

Terrence J Wa Hollywood Kugawa Kitabu Chake Bure, Ku-host Red Carpet Event Mlimani City Leo.

Star wa Hollywood na mtangazaji wa E! News ya Marekani Terrence Jay tayari yupo nchini Tanzania.

 leo hii kuanzia saa nane mcahana atakuwa Slipway, Msasani katika duka la A Novel I deal kugawa kitabu chake "The Wealth Of My Mother's Wisdom" bure kwa watu 100 wa kwanza kufika. Vile vile usiku wa leo Jumamosi kuanzia saa 2:00 usikuTerrence atakuwa katika ukumbi wa Mlimani City katika event ya Red Carpet  ambapo ataonyesha filamu yake ya Think Like A Man Too huku yeye mwenyewe akiwa host wa issue hiyo.

Terrence yupo nchini kwa mwaliko maalum wa Rais Kikwete kwa ajili ya kuzungumzia mambo namna ya kukuza entertainment industry ya Tanzania hasa katika muziki na filamu. Pia ilisemekana Usher Raymond au Trey Songz mmoja wapo pia angekuja lakini bado mpaka sasa hakuna taarifa za kufika kwao.

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment