Pages

Saturday, July 12, 2014

Kinadada Msiwatukane Wanaume Wanaomitongoza: Riyama Ally

Riyama
Star mkubwa wa filamu nchini Riyama Ally amesema kuwa wasichana wanapotongozwa na wanaume wasiwajibu vibaya kwa kuwatukana bali wawajibu kiistaarabu kwasababu kutongozwa ni jambo la kaiwada na kila binadamu ana hisia zake. Riyama amesema hata yeye akitongozwa na mwanaume hawezi kumtukana hata kanma hajampenda humjibu tu kistaarabu.

 "Hata kama mtu akinitongoza na nikawa simuhitaji kamwe siwezi kumtukana wala kumuonyesha dharau , kimaadili sisi sote ni binadamu na kila mtu ana hisia zake na maamuzi yake, namjibu tu kistaarabu kwamba mimi nina mtu wangu, kumjibu mwanaume vibaya Mungu hapendi" alisema Riyama akizungumza na gazeti moja


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment