Pages

Thursday, July 3, 2014

Mtunisy Kupewa Tuzo Na Bodi Ya Filamu Kupita Movie Ya Tomboy.

Habari mpya zilizotua Swahiliworldplanet zinasema kuwa Bodi Ya Filamu Tanzania imepanga kumpa tuzo Mtunisy Nice Mohamed ambaye ni muigizaji na producer maarufu nchini. Inadaiwa kuwa star huyo atapewa tuzo kutokana na filamu yake mpya ya TomBoy kuwakuna bodi ya filamu kwa ujumbe uliomo katika movie hiyo ambapo Jackline Wolper na Mtunisy ndiyo vinara wa movie hiyo.

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment