Pages

Thursday, July 3, 2014

Lady Jaydee Adaiwa Kumiliki Radio EFM 93.7 Na Kuwapa Kiwewe Wamiliki Wa Radio Nyingine.

Jaydee
Habari mpya zinazosambaa kwa kasi ni kuwa radio ya EFM iliyopo Dar es salaam ambayo inapatikana katika masafa ya 93.7 inadaiwa kumilikiwa na Lady Jaydee ambaye ni mwanamuziki star mkubwa wa Tanzania. Radio hiyo inadaiwa kuanza kuwanyima usingizi baadhi ya wamiliki wa radio nyingine kutokana na kudaiwa kuwa na team ya watangazaji, Ma Dj na na wafanyakazi ambao wameanza kuwa tishio kupitia vipindi mbalimbali.

Hata hivyo mpaka sasa Jaydee hajasema chochote kuhusiana na madai hayo, ingawa kumbukumbu za siku za nyuma zinaonyesha kuwa mwanamuziki huyo kipenzi cha wengi aliwahi kudaiwa kusema yupo mbioni kufungua radi yake.

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment