Pages

Saturday, June 28, 2014

Tumefanya Makubwa Ndani Ya Filamu Ya Inside Itakayoingia Sokoni 10 July: Odama

Star wa filamu nchini Odama Jennifer Kyaka amesema kuwa filamu yake mpya ya INSIDE itakayoingia sokoni tarehe 10n mwezi ujao ni moto wa kuotea mbali kwasababu hakubahatisha kuitengeneza. Filamu hiyo imewakutanisha wasanii wenye uwezo kama vile Odama, Ben Branco, King Majuto, marehemu Rachel Haule, Masinde, Dullah wa Planet Bongo na Halima Yahaya "Davina" . hakikisha unanunua nakala yako halisi.


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment