Pages

Saturday, June 28, 2014

Winners Full List: Lulu, Diamond, Millardy Ayo, King Majuto Wang'ara Tuzo Za Watu 2014

Lulu na meneja masoko wa Proin Promotions
Jana tarehe 27 ilikuwa siku ya utoaji wa TUZO ZA WATU ambazo zimefanyika kwa mara ya kwanza nchini. Mashabiki na watazamaji ndiyo waliopiga kura kumchagua mshindi wa kila kipengele. Hii hapa chini nmi list nzima ya washindi......



1.Mtandazaji wa kiume anayependwa.
- Millardy Ayo

2. Kipindi cha radio kinachopendwa
- Amplifier by Millard Ayo

3.Mtangazaji wa TV anayependwa
- Salim Kikeke- BBC Swahili

4.Muigizaji wa kike wa filamu anayependwa
- Elizabeth Michael Lulu

5.Muigizaji wa kiume wa filamu anayependwa
- King Majuto

6.Muongozaji wa video anayependwa
-Nisher

7.Kipindi cha TV kinachopendwa
-Mkasi - by Salama Jabir

8.Video ya mwanamuziki wa kiume inayopendwa.
- My Number One - by Diamond Platnumz

9.Video ya mwanamuziki wa kike inayopendwa
- Yahaya - by Lady Jaydee

10. Filamu inayopendwa
- Ndoa Yangu - By Steven Kanumba and Jackline Wolper

11. Mwanamichezo anayependwa
- Juma Kaseja
Millard Ayo

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment