Pages

Wednesday, June 25, 2014

Mashabiki Wamtaka Nisha Autoe Wimbo Mzima Wa Gumzo Toka Katika Filamu Hiyo.

Muigizaji wa filamu mwenye jina kubwa nchini Salma Jabu Nisha amesema kuwa soon atatoa wimbo mzima wa Gumzo ambao kipande kidogo tu kilitumika katika filamu yake ya Gumzo iliyotoka takribani miezi mitatu iliyopita. Nisha amesema kuwa mashabiki walipenda wimbo huo akiwa na King Majuto na wanautaka utoke mzima hivyo amaeamua kuwasikiliza na kuamua kuutoa wimbo huo muda si mrefu ingawa amesema kuwa mwanzoni hakuwa na lengo hilo kwasababu yeye sio mwanamuziki ni actress na waliutengeneza kwa ajili ya kipande cha filamu yake hiyo tu. Katika filamu hiyo Nisha alicheza na King Majuto na Hemedy.


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment