Pages

Tuesday, June 24, 2014

Actress Wellu Sengo Ajifungua Mtoto Wa Kike.

Wellu Sengo
Latest celebrities news ni kuhusu actress aliyejaaliwa mvuto wa aina yake Wellu Sengo kujifungua mtoto wa kike. Kwa mujibu wa taarifa ilizozinyaka Swahiliworldplanet ni kuwa mama na mtoto wanendelea vizuri.
Wellu alikuwa kimya kidogo kutokana na kuwa mjamzito ingawa filamu yake mpya ya Hukumu Ya Ndoa Yangu akiwa na JB na Shamsa Ford ilitoka hivi karibuni.

Hongera sana Wellu 

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment