Pages

Wednesday, June 25, 2014

Filamu Ya "Inside" Toka Kwa Odama, King Majuto, Davina Kuingia Sokoni Tarehe 10 July.

Actress mwenye heshima kubwa nchini Odama Jennifer Kyaka anakuja kivingine katika kuliteka soko la filamu na movie yake mpya inayoitwa "Inside" ambayo itaingia sokoni rasmi tarehe 19 July mwezi ujao. Filamu hiyo pia yupo Ben Blanco, Dullah, Halima Yahaya "Davina", King Majuto, Richard Mshanga 'Masinde" na marehemu Rachel Haule. Inside imetengenezwa na kampuni ya J-Film 4 Life ambayo inamilikiwa na Odama. Hakikisha unanunua nakala yako halisi

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment