Thursday, May 1, 2014

"Tom Boy" Ya Jackline Wolper Na Mtunisy Yakimbiza Kwa Kugombaniwa Sokoni.

Filamu Ya TOM BOY(Jike Dume) ambayon imeingia sokoni jana tarehe 1 inaendelea kununuliwa kama njugu kutokana na story yake nzuri kuwakuna mashabiki wengi. Filamu hiyo imechezwa na waigizji maarufu Jackline Wolper na Nice Mohamed "Mtunisy" wahi sasa kununua nakala yako halisi kabla haijaisha.

No comments:

Post a Comment