Thursday, May 1, 2014

Sio Sawa Kuwa Tofauti Kabisa Toka Kwa King Majuto, Modest Bafite, Salehe Lufedha Na Babylove.

King Majuto, Salehe Lufedha, Modest Bafite na Babylove Kalalaa kulitrikisa soko la filamu wiki ijayo kutokana na filamu yao mpya ya SIO SAWA kuingia sokoni rasmi. Filamu hiyo ina kisa kizuri ambacho kitakufurahisha wewe na familia yakon utakapoinunua.

No comments:

Post a Comment