Thursday, May 1, 2014

Filamu Ya "Tom Boy" Toka Kwa Mtunisy Na Jackline Wolper Yaingia Sokoni Kwa Kishindo Leo Hii.

Filamu ya Tom Boy ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa imeingia sokoni leo tarehe 1 May 2014 na kuanza kupatikana katika maduka mbalimbali ya jumla na rejareja yanayouza filamu za Kitanzania. Filamu hiyo imewakutanisha mastaa wakubwa wa filamu nchini Nice Mohamed "Mtunisy" na Jackline Wolper huku story yake ikiwa na kisa cha kusisimua sana. Hakikisha unanunua nakala yako halisi.

No comments:

Post a Comment