Sunday, May 18, 2014

Adam Kuambiana Kuzikwa Jumanne.

Mwili wa muigizaji Adam Kuambiana ambaye pia alikuwa director wa filamu nchini aliyefariki jana alfajiri utaagwa kesho Jumatatu, Jumanne mwili huo utapelekwa viwanja vya Leaders Club ambapo mashabiki wake watapata nafasi ya kuuaga. Atazikwa katika makaburi ya Kinondoni, Dar e salaam hiyo hiyo Jumanne kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mkewe anayeitwa Janeth.

No comments:

Post a Comment