Irene Paul
Thursday, March 13, 2014
Siangalii Dini Wala Kabila Ili Kupata Penzi La Kweli: Irene Paul
Irene Paul ambaye kwasasa anafanya vizuri katika tasnia ya filamu Swahiliwood amesema kuwa katika suala la mapenzi haangalii dini, kabla wala kitu kingine ila huangalia mwanaume anayempenda wa dhati ndiyo atakuwa wake. Akizungumza na Globalpublishers Paul alisema "Naangalia
tu, mtu anayenipenda ananipenda kweli au anaigiza? Nikigundua
ananipenda kweli, nampenda pia. Hata aweje huyo ndiye atakayekuwa wangu
wa maisha"
Irene Paul
Irene Paul
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment