Sunday, March 30, 2014
Wema Sepetu Amsindikiza Diamond Kwenda Nigeria Kufanya Kazi Mpya Na Collabo Alizoombwa Na Wasanii Wa Huko.
Star wa muziki wa Bongofleva Diamond Platinumz ameondoka kwenda nchini Nigeria kufanya video yake mpya na pia kufanya collabo na wanamuziki wa Nigeria na Ghana ambao wamependa kazi za Diamond na kumuomba wafanye nae kazi pamoja star huyo wa Tanzania. Wema Sepetu nae hakuwa nyuma katika kumsindikiza mpenzi wake huyo kama wanavyoonekana pichani wakiwa Julius K. Nyerere international airport.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment