|
Shasta |
Star wa filamu nchini Shasta amepatwa na msiba wa kufiwa na mjomba wake ambaye amefariki ghafla jioni hii huko Mwanza baada ya kuangukia kisogo. Shasta amesema kuwa ameumia sana kuondokewa na mjomba wake huyo ambaye alikuwa ambekai peke yake kwani hata mama yake alishatangulia mbele za haki. Amesema kuwa anahisi mazishi yanaweza kuwa Shinyanga ingawa bado hana ukakika kwani ni mapema bado kujua.
Tungependa kumpa pole Shasta katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza mjomba wake.
No comments:
Post a Comment