|
Nisha |
Star wa filamu Swahiliwood Salma Jabu Nisha ameingiza sokoni filamu yake mpya ya GUMZO leo hii tarehe 27 February. Katika filamu hiyo wapo mastaa wengine kama King Majuto, Wastara Juma, Hemedy na Tausi. Hakikisha unapata nakala yako halisi ya GUMZO.
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
No comments:
Post a Comment